MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA LA II (RECORDS MANAGEMENT ASSISTANT II)
FundiWangu
·
MOROGORO
Full Time
Deadline: 05 May 2026
Job Description
Company Halmashauri ya Wilaya ya Tarime Positions 2 Positions Calendar Application Period
Key Responsibilities:
- Kuorodhesha barua zinazoingia Masjala kwenye regista (incoming correspondence register)
- Kuorodhesha barua zinazotoka nje ya taasisi (outgoing correspondence register)
- Kusambaza majalada kwa Watendaji (action officers)
- Kupokea majalada kwa Watendaji (action officers)
- Kupokea majalada yanayorudi masjala toka kwa Watendaji
- Kurudisha majalada kwenye shabaka/kabati la majalada(racks/filling cabinets) au mahali pengine yanapohifadhiwa
- Kufuatilia mzunguko wa majalada ndani ya Taasisi (file tracking)
Requirements:
- Kuajiriwa mwenye amehitimu Elimu ya Kidato cha Nne (IV) au Kidato cha Sita (VI) aliyehitimu Stashahada (NTA level 6) katika fani ya Utunzaji Kumbukumbu kutoka Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali, mwenye ujuzi wa Kompyuta.
- Remuneration

Apply for this Job
You need an account to apply for this job.